Harmonize – Hainistui (Audio, Lyrics, Video)

Harmonize - Hainistui (prod. Hunter)

Listen, MP3 Download, Get the Lyrics and Watch the video to Hainistui by Harmonize. The song was produced by Hunter and its video was directed by Cardoso Imagery.

Harmonize Hainistui (prod. Hunter)
Harmonize Hainistui (prod. Hunter)

Multi-talented Tanzanian serial hitmaker and songwriter, Harmonize has resisted relenting in dropping his sound, as he proclaimed he has a lot in the bag to bless his fans in the year 2020. While still basking on the success of his recently released track where he teamed up with the talented Nigerian songster, Mr Eazi on “Tepete“. Harmonize follow up with the visuals to his brand new potential hit track tagged “Hainistui“. It seems he’s fully prepared for the year.

Harmonize – Hainistui (prod. Hunter)

Watch Video

Lyrics

Yao yao, hahaha Jeshi
(Young legendary)
Yii KondeboyEeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijuiKonde wenzako watakuroga(Hainishtui)
Au na wewe ushaogaa(Hainishtui)
Maana hunaga uoga(Hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijuiEeeh leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya Mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subira ngoja Mungu ajakutosaMajungu na fitina naaa naa
Zigeuze changamotoo
Maneno muachie Amina naaa naa
Dawa ya moto ni motooWapo walosema Konde atapotea
Konde atapotea
Ndege katia gia chombo iyo inapepea
Chombo inapepeaMi ninakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafikaNenda waambie, kwambaEeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ah wenzako wanakuchukia(Hainistui!)
Tena wamepanga kukubania(Hainistui!)
Isitoshe wao ni matajiri(Hainistui!)
Usijali we tumia tu akili(Hainistui!)Hapa nilipo kesho yangu sijuiYii! Sinaga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa Mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunuaTena waambie eeh eeehMchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kaziiMi niinakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafikaNenda waambie, kwambaEeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijuiMwana anakula tungi mbayaa(Hainishtui)
Yule dada anadanga, malaya(Hainishtui)
Ataishi pabaya(Hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijuiIna-ina-inaa…
(The mix killer)
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoeeWakimuona dodo na chopa
Inauma ila itabidi wazoee
Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoeeOooh my God its Better Sound
Hunter, hahahaha…
Kwako mwalimu kashasha…

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

You might also like
Leave A Reply

Your email address will not be published.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. AcceptRead More