Harmonize – Wapo (Audio, Lyrics)

Date 2021-01-07

Category Foreign Music, Lyrics, New Music

Harmonize is back with “Wapo”. Listen, stream, buy, mp3 download and read the lyrics to the Boy Beatz-produced song.

Harmonize Wapo

Harmonize Wapo

After the success of Ushamba Remix featuring Naira Marley, Tanzania singer Harmonize drops “Wapo”. This an inspirational song produced by Boy Beatz.

The Konde Boy shared via his IG, ‘ONE MORE SONG 2020 ? OK..!! SPECIAL MESSAGE TO YOU BROTHERS & SISTERS, MPAMBANAJI MWENZANGU …!!! ULIOPO MTAAANI SIO KILA ANAEKUPIGIA MAKOFI ANAKUPONGEZA #WAPO WANAO KUPIGIA ILI UMALIZE KUONGEA ? AMKA PAMBANA …!!!! DUNIA NDIVYO ILIVYO FICHA CHOZI LAKO UKILITOA HADHALANI #WAPO WANAOFURAHIA NA SIO KUKUONEA HURUMA KAMA UNAVYO DHANI…!!!! #WAPO PR‘.

This song WAPO has a special message for the youths, Harmonize at the end says its that time to follow your dreams and no matter what people always stay humble, stay positive, follow your dreams and believe in God. Finally, Ease your mind and always find Peace.

Harmonize – Wapo (prod. Boy Beatz)

Lyrics

(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi

Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao

Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo

Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi

Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe

Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)

Written By

View All Articles

Creative Executioner! I take ideas from the subliminal to execution in the physical.

+Comment

Drop A Comment