Diamond Platnumz – Chitaki (Audio, Lyrics)

Date 2022-12-24

Category Foreign Music, Lyrics, New Music

Diamond Platnumz is back. He returns with the new song, “Chitaki” co-produced by Lizer Classic & S2KIZZY. Listen, stream, read the lyrics, mp3 download.

Diamond Platnumz Chitaki

Diamond Platnumz Chitaki

Diamond Platnumz – Chitaki (prod. Lizer Classic & S2KIZZY)

23 December 2022
1 Song, 3 minutes
℗ 2022 Ziiki Media

Lyric Video

Lyrics

We ndo kitumbua we ndo sambusa
Basi njoo unichum baby ndo tuseme umesusa
We ndo mwisho wa reli
Kwako nimeweka nukta

Walokwambia nala zuchu sio kweli wanazusha
Wanao kaa vikao sisi kutujudge
Wape pole yao wanatwanga maji
Nawaongeze bidii kwenye mlogaji
Tupo ten gb penzi full charge
Fanya wainamaa wainukaa
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainamaa wainukaa
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku!

Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Mchana nikupe tango usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo kabla umeme hawajakata
Mapenzi mwenzie kiwango na umejariwa taranta
Na unanijua kwa jambo hatoki mtu kwa mkapa

Eeh! Aaah
Amuli chi chi chi
Amuli chacha chacha
Kamoyo ti ti ti nimeozaje sasa
Amuli chi chi chi
Amuli chacha chacha

Kamoyo ti ti ti nakuachaje sasa
Wanao kaa vikao sisi kutujudge
Wape pole yao wanatwanga maji
Nawaongeze bidii kwenye mlogaji
Tupo ten gb penzi full charge

Basi fanya
Fanya wainamaa wainukaa
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainamaa wainukaa
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta

Mi kuachana na wewe aku!
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

+Comment

Drop A Comment