Diamond Platnumz – “Kamata” [Audio, Lyrics, Video]

Date 2021-07-05

Category Foreign Music, Lyrics, Lyrics Video, Music Video, New Music

Singer, Diamond Platnumz premieres the visual for “Kamata”, produced by Lizer Classic & S2Kizzy. Watch the video & lyric video, stream, read the lyrics, buy the song.

Diamond Platnumz Kamata

Diamond Platnumz Kamata

On this song, Diamond Platnumz combines Afropop and Bongo Fleva. It’s a sure banger and dance song… Enjoy!!!

Diamond Platnumz – Kamata (prod. Lizer Classic & S2Kizzy)

Watch Video

Lyric Video

Lyrics

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Written By

View All Articles

Creative Executioner! I take ideas from the subliminal to execution in the physical.

+Comment

Drop A Comment